Powered By Blogger

Sunday, September 12, 2010

masikitiko

wiki hii sikukuu ya iddi elfitr tumekuwa na habari za majonzi ndani jiji la dar es salaam haswa wilaya yatemeke,hali hii inasikitisha haswa kwa wafiwa ,watoto wawili ktk siku ya idd elftr wamefarikh wengine ni majeruhi wamelazwa hospitali,hali hii haipendezi kwani inatukumbusha tukio lilotokea mkoani tabora takriban miaka miwili ili yopita zaidi ya watoto kumi walifariki kwenye kumbi za disco zijulikanazo muungano mesi manispaa ya tabora.nahili nitukio jingine lalufa watoto wetu kwenye kumbi ya disco wilaya yatemeke halii itakoma lini ?umakini unahitajika haswa wandaaji wakumbi hizo na wamiliki muda uangaliwe haswa kwa watoto chini ya miaka kumina minne.waweze kutolewa mapema ikiwezekana saa kumi nambili nanusu wawe wanatoka ukumbini hii ingali itasaidia inshalaah mungu yupo

No comments:

Post a Comment

,body